HAWA NDIO WASANII WATANO RAIS MAGUFULI ANAOWAPENDA NA KUWAKUBALI



RAIS MAGUFULI amefunguka wasanii anaowapenda na kusikiliza sana kazi zao za sanaa. Wasani hawa amevutiwa nao kutokana na tungo zao nzuri kimuziki na ujumbe wanaoufikisha katika hadhira husika. Rais Amekua akiwatumia wasanii hawa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kisiasa.

WASAII/WANAMUZIKI ALIOWATAJA NI 

1. Christian Bella.


2. Mrisho Mpoto. 

3. MALAIKA.